Breaking News

WATU 13 WAFARIKI KWA AJALI SINGIDA.


Na Mwandishi wetu, Mwanza.

Takribani watu 13 wamefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally's Star lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea jijini Mwanza kugonga treni katika makutano ya reli wilayani Manyoni mkoani Singida.

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Manyoni, Dk Furaha Mwakafilwa amethibitisha kupokea mili ya watu 13  na majeruhi 32 kutokana na ajali hiyo.

Taarifa zinaeleza, ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Jumatano Novemba 29,2023.

Chanzo: Mwananchi



No comments