RAIS SAMIA AFANYA UKAGUZI WA MABORESHO YA UWANJA WA NDEGE MTWARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Hamza Johari wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi wa maboresho yanayofanyika uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo juu ya maboresho yanayofanyika uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi.
No comments