Breaking News

HABARI PICHA UJIO WA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA KATIKA OFISI ZA MWANZA PRESS CLUB LEO.

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright akisalimia na Mwenyekiti wa Mwanza Press Club Bw Edwin Soko mara baada ya kufika katika ofisi za Chama hicho.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright   akifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Roberth Gabriel mara baada ya kusaini kitabu cha wageni cha MPC.
Mwenyekiti mstaafu wa MPC Deus Bugaywa akitoa maelezo kwa balozi wa Marekani  kuhusiana SP ya MPC na namna chama kinavyotarajia kupata miradi kupitia mpango huo.

Wanachama wa Mwanza Press Club wakifatilia kikao cha maswali na majibu kutoka kwa Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright hayupo pichani.

Wanachama wa Mwanza Press Club wakifatilia kikao cha maswali na majibu kutoka kwa Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright hayupo pichani.

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald Wright akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mwanza Press Club ikiwa ni sehemu ya kuheshimu ujio wake katika ofisi za MPC.

Mwenyekiti wa Mwanza Press Club Edwin Soko na Balozi wa Marekani Donald Wright wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Balozi huyo kufanya mazungumzo na wajumbe wa MPC.

Mwenyekiti wa Mwanza Press Club Edwin Soko na Balozi wa Marekani Donald Wright wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Balozi huyo kufanya mazungumzo na wajumbe wa MPC.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Roberth Gabriel akitoa majumuisho ya ziara Balozi wa Mrekani mkoani Mwanza mbele ya waandishi wa habari.

Picha ya pamoja kati ya baadhi ya viongozi wa MPC,Balozi wa Marekani  na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

PICHA NA TONNY ALPHONCE,MWANZA.

No comments