Breaking News

Picha :YALIYOJIRI "USIKU WA WAANDISHI NA WADAU WA HABARI KANDA YA ZIWA"

Na Kadama Malunde

Waandishi wa Habari Kanda ya Ziwa wamekutana na Wadau wa Habari wa Kanda ya Ziwa katika hafla ya aina yake iliyopewa Jina la Usiku wa ‘Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa’ ambapo wametumia fursa hiyo kubadilishana mawazo,kula,kunywa na kucheza pamoja ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano baina ya waandishi wa habari na wadau.

Hafla hiyo iliyoongozwa na Kauli mbiu : Vyombo vya habari ni daraja la maendeleo imefanyika Usiku wa Februari 1, 2021 katika Ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akimwakilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella.

Akifungua hafla hiyo, Dk. Lalila alisema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na vyombo vya habari akibainisha kuwa vyombo vya habari vina nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo katika jamii hivyo kuwasihi waandishi wa habari wa habari kuandika habari za ukweli na uhakika.

Dk. Lalila pia aliwasisitiza wadau kutumia vyombo vya habari vikiwemo vya mtandaoni kutangaza shughuli wanazofanya.

Naye Mkurugenzi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Abubakar Karsan alisema vyombo vya habari vitaendelea kushirikiana na wadau katika kuiletea maendeleo jamii huku akiwakumbusha waandishi wa habari kuzingatia maadili ya uandishi wa habari wanapotekeza majukumu yao.

Mwenyekiti Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza, Edwin Soko alisema aliwataka wadau wa habari wasiviogope vyombo vya habari kwani waandishi wa habari sio maadui wa wadau wa habari bali ni marafiki zao na kwamba endapo kutakuwepo ushirikiano baina ya wadau wa habari na vyombo vya habari basi ni rahisi wananchi kupata maendeleo.

Nao Wadau wa Habari wa Kanda ya Ziwa waliahidi kuendelea kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya Habari ili kuifikia jamii na kuihabarisha juu ya shughuli wanazofanya.

Miongoni mwa Wadau na Wadhamini wa hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa mwaka 2021 ni Kampuni ya Vinywaji Baridi ya Jambo Food Products Ltd ya mkoani Shinyanga, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kampuni ya Bia ya TBL, NHIF,Gold Crest Hotel, TAKUKURU, shirika la EMEDO,MSC,Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Big Idea Creation, K VANT, SBL,YUHOMA Educational Ltd,BUNDESILIGA, IWPG, ST. CLARE,Hospitali ya Tanzanite, Marine Services Company Ltd na Malunde Media.

Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akifungua Hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa akimwakilisha Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza. Picha na Kadama Malunde 1 blog

Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akifungua Hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akipiga picha na wadau wa habari Kanda ya Ziwa waliodhamini hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Muonekano ukumbini

Mkurugenzi wa UTPC, Abubakar Karsan akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Mwanza, Edwin Soko akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Wadau wa habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Wadau wa Habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Wadau wa habari na waandishi wa habari wakiwa ukumbini

Wadau wa Habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Wadau wa Habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Waandishi wa  habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Waandishi wa Habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Wadau wa Habari na waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mchekeshaji akitoa burudani

Wawakilishi wa Kampuni ya Megabeverages Ltd Arusha wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Mhandisi Godfrey Chibulunje akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Kushoto ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano EWURA, Titus Kaguo akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.Kulia ni

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Mhandisi Godfrey Chibulunje

Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Meneja Masoko wa Kampuni ya Jambo Food Products, Flavian Makwaiya akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mc Benard James akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Meneja wa TBL Kanda ya Ziwa Makaya Makani akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mdau akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Chifu Mikomangwa akifuatilia jambo kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mdau wa habari akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakileakitambulisha  bidhaa mpya iitwayo Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile akiwapa kinywaji kipya cha Asilia Vodka 200mls kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mdau wa habari akizungumza kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Wadau wakiwa ukummbini

Wadawa wakiwa ukumbini

MC akitoa mwongozo ukumbini

Waandishi wa Habari wakiwa kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akikabidhi vyeti kwa wadau wa habari kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akimkabidhi cheti Afisa Masoko wa Kampuni ya Megabeverages Limited Arusha Kanda ya Ziwa, Betty Mbakile

kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akimkabidhi Kadi ya Bima ya afya ya NHIF kwa mwandishi wa habari kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Mkuu wa wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza Dk. Severine Lalika akiendelea kukabidhi bima za afya za NHIF kwa waandishi wa habari kwenye hafla ya Usiku wa Waandishi wa Habari na wadau wa habari Kanda ya Ziwa Februari 1,2021 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Picha zote na Kadama Malunde.

No comments