Breaking News

Majaliwa akagua mradi wa ujenzi wa daraja la Kigogo-Busisi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 18, 2020 amekagua ujenzi wa mradi mkubwa wa daraja  la Kigongo - Busisi mkoani Mwanza. Pichani ni muonekano wa hatua iliyofikiwa  katika ujenzi wa daraja la muda linalowezesha  ujeni wa mradi huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Daraja la muda ambalo linawezesha ujenzi mradi wa daraja la Kigongo-Busisi ambao Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameutembelea Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa daraja la Kigongo -Busisi mkoani Mwanza, Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Daraja la muda ambalo linawezesha ujenzi mradi wa daraja la Kigongo-Busisi ambao Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameutembelea Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Nondo zikiwa zimesimikwa na kusukwa katika mradi wa ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambao Waziri Mkuu, Kasim Majliwa ameutembelea, Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi, Desemba 18, 20209. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mahali panapochimbwa ili kusimika moja ya nguzo za daraja la Kigongo – Busisi wakati alipokagua ujenzi wa daraja la Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza, Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama jiwe lililotolewa ndani ya maji wakati wa uchimbaji wa eneo itakaposimikwa moja ya nguzo za daraja la Kigongo- Busisi mkoani Mwanza Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mtambo ukichimba mahali itakaposimikwa moja ya nguzo za daraja la Kigongo-Busisi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea mradi huo, Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Daraja la muda ambalo linawezesha ujenzi mradi wa daraja la Kigongo-Busisi ambao Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameutembelea Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mtambo ukichimba mahali itakaposimikwa moja ya nguzo za daraja la Kigongo- Busisi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea mradi huo, Desemba 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments